-
Muziki
-
Too Much
-
Hasara Roho
-
Kama Utanipenda
-
Muziki (feat. Ben Pol)
-
Tunaishi
-
Heya Haye
-
Osman Siombaya
-
Utanitoa Roho
-
Muziki ft Ben Pol
-
Muziki (ft. Ben Pol)
-
Watch Me (feat. Godzilla)
-
Too MUCH | DJMwanga.com
-
HASARA ROHO | ShijaTwist.com
-
Hasara Roho - Tanzania - 2017
-
Sio Mbaya
-
Too Much ( Official Music Video)
-
Hasara Roho ( Official Music Video ) - Tanzania - 2017
-
Hasara Roho_320943640 - DJMaisha
-
Muziki ft. Ben Pol
-
Too Much | JohVenturetz.com
uru uhuru we eh eh eh
Anzisha mziki sasa
Eh bwana bhana inakuaje
Sio mbaya
Africa ya mashariki
Sio mbaya
Salamu za mashabiki
Sio mbaya
Ah aaaaah!
Narusha feeling zangu high kama kipepeo
Nataka kuhave fun sio mbaya leo
Leo ndio leo kama mchezo wa video
Usikubali ukapitwa na hili toleo
Mana nakunywa nalewa
Naimba nacheza
Na icho ulichopewa Mungu atakuongeaza
Maisha ni juu na chini
kuishi ni kujiamini
Wakikwambia wataka kuwa nani
Wambie mimi
Waweza kuwa queen
Waweza kuwa king
Waweza kuwa juu angani ukiamini
Anayejali hisia zako anakuthamini
Anayekupa nafasi anakuamini
Maisha ya mjini
Kula ipo akilini
Binadamu hawafai kaishi porini
Eh bwana bhana inakuaje
Sio mbaya
Mipango imekaaje
Sio mbaya
kujiburudisha na muziki
Sio mbaya
Na kisha tunaridhika
Sio mbaya
...
******* This Lyrics is NOT for Commercial use *******
(1409612056681)
Lyrics powered by www.musixmatch.com. This Lyrics is NOT for Commercial use and only 30% of the lyrics are returned.
Copyright © 2019 | Mrtzcmp3