• Umoja Wa Tanzania - Feat. Prof. Jay
  • Kighettoghetto
  • Sonia
  • Hili Game
  • Jinsi Kijana
  • Hakuna Kulala
  • Sitaki Demu
  • Wimbi la Njaa (2001 Remix)
  • Nini Chanzo
  • Tumepigika
  • Jinsi Kijana (Remix)
  • Juu kwa Juu
  • Hiya We
  • Umoja wa Tanzania
  • Wimbi la Njaa (2000 remix)
  • Inaniuma Sana
  • Mugambo
  • Utajiju
  • Umoja Wa Tanzania (feat. Professor Jay)
  • mzee wa busara
  • Everbody stand up
  • Ugali
  • iddi
  • Aah Wapi
  • Salio La Verse
  • Hali Ngumu
  • ubinadamu kazi
  • Kigetogeto
  • Salio la Veusi
  • HILI GEMU
  • Hili Game Tafu
  • Naja
  • Jela
  • Nampenda
  • Kisa Demu
  • Jelah
  • Lakuvunda
  • Intro
  • Brotherman
  • Mugambo (Feat. DJ Steve)
  • Mtoto Iddi
  • Africa no.1
  • Mikiki Mikiki
  • Mzuka
  • Sherehe
  • Huwezi Jua
  • Zali La Mentali
  • Radhia
  • Sitaki dame
  • Usafiri Kafiri

(Mzee wa busara anawangaa)
(Mzee wa busara noma toka anasoma)

Oh ho ho, mmh mmh, mzee busara huyu
Kutwa tunakesha kuweweseka
(Huyu bwana mwanga mzee wa busara)

Wa busara mzee wa ndumba, juju, mtu wa kuwanga wanga
Zuga yake ni mganga wa jadi, mila na dawa za miti shamba
Mtu wa ngenga domo mshelisheli na lapsha
Aombe kwenu mboga na chumvi sukari viishe upoteze maisha
Hataka kama maitaji yenu ya akiba hala hala jirani mchotee japo kibaba

Ana paka wake huyo akilia, "Nyau", basi nyumba ya pili tunazika mtu na tunamsahau
Wa busara kala hasara mtu wa njala
Ni mpweke mkeke empty mweupe yuko maja-lala
Kutwa kushinda kwenye bao tu
Anabadili mikao tu!
Mzee wa busara huyu huyu, huyu huyu

Vitoto vikipotea mtaani vinatolewa chini ya mbuyu
Hana kazi, hana kibarua anaishiishi vipi kama si' ugagu unamsumbua
Zake ni chuma ulete
Akinunua kitu lazi tandika kwenye kibanda cha chinga muuza fegi, pipi, machungwa
Faida yote ya kwake

Juma eeh! Mwambie mama haruna aingize ndani watoto mapema
Mzee wa busara kakorofishana na wakina John Mgema
Yani ni off-off mtaani mashaka tele
Sijui kwa nini huyu mzee kawa na roho ya kuwakere (ah, Busara unatuudhi)

Mzee wa busara
Vishawisi vimemponza mpaka kafanya msala
...

******* This Lyrics is NOT for Commercial use *******
(1409612056681)
Lyrics powered by www.musixmatch.com. This Lyrics is NOT for Commercial use and only 30% of the lyrics are returned.

Copyright © 2019 | Mrtzcmp3