-
Alikufa Kwa Ngoma - Feat. Lady JD
-
Alikufa kwa ngoma
-
Alikufa Kwa Ngoma (feat. Lady JD)
-
Bado Nipo Nipo
-
Binamu
-
Ingekuwa Vipi
-
mabinti
-
Kama Zamani (feat. the Kilimanjaro Band, Mandojo & Domokaya)
-
Mwana F.A ~ Utaoa lini
-
Bado Nipo Nipo (Produced By Hermy B)
-
Unanitega
-
Unanitega ft Noorah & Barbara
-
Yalaiti (Tanzania)
-
Kama zamani ft Njenje, Mandojo & Domokaya
-
Kama Zamani duet with Kilimanjaro Band & Mandojo wit Domokaya
-
Habari Ndiyo Hiyo ft AY
-
Habari ndio hiyo (ft. AY)
-
Unanitega ft. Noorah
-
Yalaiti
-
Kiboko Yangu Ft Ali Kiba
-
Msiache Kuongea
-
Amani Iwe Nanyi
-
Habari ndio hiyo
-
Alikufa Kwa Ngoma (feat.Lady JO)
-
Alikufa Kwa Ngoma (ft Lady Jay Dee)
-
Habari ndio hiyo (feat. AY)
-
Umejuaje + Lady Jay Dee
-
NANGOJA AGEUKE
-
Kula Kwa Macho + Talia
-
Unanijua Unanisikia
-
Bila Kukunja Goti
-
TULIZA BALL(RMX)
-
Aminia
-
Hatu-rap
-
Mabinti Dam Dam
-
Showtime
-
Jukumu Letu (feat. Prof Jay)
-
Siku Hazifanani
-
Hawajui Tulipotoka (feat. Lady JD)
-
Mi Namabinti Dam Dam
-
NAONGEA NA WEWE
-
Nazeeka (feat. Sugu& Prof Jay)
-
Alikufa kwa ngoma (f. Lady JD)
-
Alikufa Kwa Ngoma Ft. Lady JD
Hakuonekana na binti hakuwahi kuiasi dini
Mfuasi mzuri wa maadili (lakini alikufa kwa ngoma)
Aliwarudisha waliopotea akawapa tiba mbadala
Na adui mkubwa wa zinaa (lakini alikufa kwa ngoma)
Najaribu kumjengea picha mshkaji alie kalala ndani ya futi 6
Namkumbuka mtaani mtaani alipokuwa anakatisha
Na mara kadhaa maskani washkaji ungemkuta
Usingedhani ana ngoma machoni alivyokuwa mwema
Mzuri, mtanashati aliyewaza kabla ya kusema
Ibilisi wa njaa za mwili daima alimchezea mbali
Tungi, vicheche, mineli hakuonekana kujali
Tazama maisha yake hutaliona kosa lake
Kama aliyefunga kufuli kati kati ya nyeti zake
Mkali wa ushauri nasaha aliyeongea kuhusu mapenzi huku akipinga zinaa
Ungesema achague kipindi angechagua njia panda
Nyumba aipendayo angechagua ya ibada
Utepe mwekundu mpaka kwenye nguo zake za ndani
Nadhani mimi najali wewe je?
Kama alikufa kwa ngoma jiulize alijali nini?
Hakuonekana na binti hakuwahi kuiasi dini
Mfuasi wa maadili iiih (Lakini alikufa kwa ngoma)
Alirudisha waliopotea akwapa tiba mbadala
Adui wa zinaa iiih (lakini alikufa kwa ngoma)
Mara nyingi alikuwa mpole
Mara chache alizoongea wote tulimgeuza shule
...
******* This Lyrics is NOT for Commercial use *******
(1409612056681)
Lyrics powered by www.musixmatch.com. This Lyrics is NOT for Commercial use and only 30% of the lyrics are returned.
Copyright © 2019 | Mrtzcmp3