• Mikasi
  • SHE GOT A GWAN
  • Ndani ya club
  • Singida Dodoma
  • Getho langu
  • Mapenzi Gani (Ft. Lady JD)
  • Dakika moja
  • Nipe Deal
  • She got gwan
  • Mapenzi Gani ft Lady Jaydee
  • Dakika Moja(Ft Noorah)
  • Weekend bam bam
  • Gheto langu
  • No Beef Ft Tid
  • Mademu Wangu
  • Sikiliza (Ft Mwana FA & Lady Jay Dee)
  • Nipe Deal ft. DARK MASTER & DUNGA
  • Mkasi
  • mtoto wa jakaya
  • Napokea Simu (Ft Dully Sykes)
  • MADEMU WANGU WOTE
  • Mida Mibovu ft. Juma Nature, Jay Mo, Ferouz, P. Funk
  • Dodoma Singida
  • Mitungi
  • MIKASI(Radio Version)
  • Mimi (Ft TID)
  • Zawadi(Hiv)
  • Demu ni wa kwangu
  • Sibaliza
  • Clubbin

Ni asubuhi ninaamka ninapiga mswaki Kisha naenda
Kubath kuweka mwili safi Narudi ghetto nafungua kabati
Nachukua pamba bling bling kwa chati
Na t-shirt ya black na jeans ya khaki
Na chini nina simple white tisheti
Za Nike Kisha mzee najipulizia marashi
Nanukia safi
Niko na machizi wa Chambers Squad na Darky
Tunawapigia simu Rich Coast wako wapi Tunakutana mitaa ya Chaga Bite
Asubuhi tunapata zetu supu kwa chapati Na mitungi ya kupotezea wakati
Ukitaka fegi mezani kuna pakti
Iwe Sport au SM au Embassy
Hapa utakula raha mpaka mwenyewe utasema basi
Tunakamua mpaka ile mida ya lanchi Tunaagiza
Ugali mkubwa na samaki Makamuzi yanaendelea mpaka night
Watu wanaingia graveyard kwanza kupata nyasi
Tunarudi kila mmoja anajisachi
Ni kiasi gani mfukoni kilichobaki
Kujicheki mi nina kama laki
Nikawaambia machizi kinachofuata mikasi

KIITIKIO
Mitungi, blanti, mikasi
Kama ukitaka kuvinjari nasi
Basi mfukoni mwako nawe uwe safi Mitungi, blanti, mikasi
Kama ukitaka kuvinjari nasi
Basi mfukoni mwako nawe uwe safi

UBETI WA PILI

Kulewa tushalewa kilichobaki mikasi Washikaji milupo tutapata wapi?
Milupo labda mitaa ya kati
So tunaenda vipi kwa miguu au kwa basi? Usiku huu bora tuchukue taxi
...

******* This Lyrics is NOT for Commercial use *******
(1409612056681)
Lyrics powered by www.musixmatch.com. This Lyrics is NOT for Commercial use and only 30% of the lyrics are returned.

Copyright © 2019 | Mrtzcmp3