• Addiction (feat. Harmonize)
  • Nitachelewa
  • One Night Stand
  • Mapenzi
  • Nimpende
  • Jipinde
  • Nimekubali
  • Wandoto
  • Nani
  • Wawa
  • Hayakuhusu
  • One Night Stand (feat. Harmonize)
  • Subira
  • Sawa
  • Upande
  • Nitachelewa (Instrumental)
  • Upande (ft. Skales)
  • Nitachelewa (Official Music Video)
  • Subira ft. Skiibii
  • Nimpende (Official Music Video)_001
  • Sweet Love
  • Ibraah ft Harmonize - One Nigh
  • Upande Ft. Skales
  • Nitachelewa (Official Music Video) SMS SKIZA 5702757 To 811
  • Mapenzi By Ibraah | DJMwanga.com
  • Subira (feat. Skiibii)
  • Upande (feat. Skales)
  • One night stand ft. Harmonize
  • Wawa ft. Joeboy

It's Bonga
(Oh nah nah nah nah nah aah)

Asante Mungu Baba uliye mwema
Nimeiona siku nyingine ya furaha
Hali sio haba sio njema
Wa kuniponya nipate hata chembe ya furaha

Maana wazazi wananitegemea
Na ninakaribia mi kuitwa Baba
Nami ndunguzo waloegemea
Sina kitu nimechalala nimevava

Uniepushe mabaya dunia
Yasijenikumba
Napiga goti kwa uchungu nalia
Ni nusuru muumba

Katu nisikate tamaa
Niende kusaka tonge
Nipate ama nishinde njaa
Moyoni upige konde, ni sawa eh!

Ni sawa, ni sawa
...

******* This Lyrics is NOT for Commercial use *******
(1409612056681)
Lyrics powered by www.musixmatch.com. This Lyrics is NOT for Commercial use and only 30% of the lyrics are returned.

Copyright © 2019 | Mrtzcmp3