• Morio Anzenza
  • Scar Mkadinali "Kovu"
  • Mangana Manangos
  • High Noon
  • Hakuna Ujanja
  • Mtoto Ni Mrembo
  • Moja Safi
  • Hawatapenda
  • Kumamaye
  • Mrenga
  • Chinja Uwa
  • Battery Low
  • Like Uuuh
  • Ume Tii
  • Zoza Zoza
  • Vunja Magoti
  • Rong Cypher
  • Better Days (Dyana Cods)
  • Ekelea Kazi
  • Eastlando
  • Usini Udhii
  • Toka Mapema
  • MUNGU 3 -Domani Munga
  • Gimme Ur Love
  • Ulkuwa Wapi
  • Ni Hivi Ama Ni Hivi
  • Arif Mang'aa
  • Starehe Ndani Ya Roho
  • Sitafadhali
  • N.Y.C.2 (Intro)
  • High Noon (feat. Abbas & Khaligraph Jones)
  • Regret
  • Rarua Rarua
  • My Woman
  • High Noon (feat. Abbas Khaligraph Jones)
  • "Tuko Ndani" (Official Music Video)
  • Wakadinali -'Morio Anzenza' Ft Dyana Cods (Official Music Video)
  • "THE RONG CYPHER" (Official Music Video)
  • "Mangana Manangos" (Official Music Video)
  • "Ulkuwa Wapi" (Official Music Video)
  • "KU****YE!!" (Official Music Video)
  • KU****YE!!
  • "Moja Safi" (Official Audio) ft TNT & Khaligraph Jones
  • "Mrenga" (Official Music Video)
  • N.Y.C.2 (Outro)
  • Like Uhh
  • Moja Safi (feat. Timmy Blanco, Twenny Eights & Khaligraph Jones)
  • Wakadinali - "Hawatapenda" (Official Music Video)
  • Wakadinali -"Morio Anzenza" Ft Dyana Cods (Official Music Video)
  • Mtoto Ni Mrembo (feat. Timmy Blanco & Twenny Eights)

Uuuuh, yeah yeah yeah
Kama si benzo, mrenga ni beamer
Kama si benzo (yeah yeah)

Kama si benzo (yeah yeah)
Mrenga ni beamer (skrrt)
Akili hailali, akili hailali
Kwani iko nini? (yeah yeah)

Kama si benzo (skrrt)
Mrenga ni beamer
East tuko down, akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Kama si benzo (kama si benzo)
Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer)
Nairobi finesse akili hailali
Akili hailali (akili hailali)

Kama si benzo (kama si benzo)
Mrenga ni beamer (mrenga ni beamer)
Tuko East tuko down na akili hailali
Kwani iko nini? Kwani iko nini?

Akili hailali, akili hailali
Chapa tizi buda ni ka ni fainali
Washa jiji unga ka ni halali
Na ikibidi Uber ka sina rari (yeah yeah)

Hii pesa ninayo ni ya street
Juu ya muziki hainitoshi
Nasepa karao, masnitch
Sijitambulishi na mikosi

Style mbichi sijai fosi
Life in crime sisi na itos
Mblein jiji tunaikoki
Gang gang chain hubidi na floss

Msupa sly ananiatuti aha
Nishagamsuka naachia mbogi
Design ka haijipi naiboza
Walai sifaidiki na hii topic

Yeah mabang'a wako paid
Lawama kwa game hii jiji ni yetu
Kuna fala alinifanya nijam
Akaniomba msamaha na mimi si Yesu

Beamer ikibidi lakini
Nazozanga benz mbili na ni rental
Nina msupa hupenda vitu ndechu
Lakini ni ya gang ni yetu

Kama si benzo (yeah yeah)
Mrenga ni beamer (skrrt)
Akili hailali, akili hailali
Kwani iko nini? (yeah yeah)

Kama si benzo (skrrt)
Mrenga ni beamer
...

******* This Lyrics is NOT for Commercial use *******
(1409612056681)
Lyrics powered by www.musixmatch.com. This Lyrics is NOT for Commercial use and only 30% of the lyrics are returned.

Copyright © 2019 | Mrtzcmp3