• Cheche
  • Sukari
  • Wana
  • Nobody
  • Raha
  • Litawachoma
  • Shangilia
  • Mauzauza
  • Nisamehe
  • Kwaru
  • Hasara
  • Ashua
  • Hakuna Kulala
  • Tanzania Ya Sasa
  • Nobody (feat. Joeboy)
  • Cheche (feat. Diamond Platnumz)
  • Number One
  • Nobody ft. Joeboy
  • Litawachoma (feat. Diamond Platnumz)
  • Zuchu - Sukari (Official Music Video)
  • Mauzauza (feat. Khadija Kopa)
  • Cheche ft. Diamond Platnumz
  • Litawachoma ft. Diamond Platnumz
  • Sukari By Zuchu | DJMwanga.com
  • Litawachoma feat. Diamond Platnumz
  • Zuchu - Sukari
  • Nisamehe (Official Music Video) Sms SKIZA 8549161 to 811
  • Raha (Official Audio)
  • Wana (Official Music Video)
  • Sakiri
  • Zuchu - Kwaru | DJMwanga.com
  • Litawachoma (med Diamond Platnumz)
  • Sakari
  • Nobody (feat. Joeboy) | JustNaija.com
  • Sukari Wasafi Tumewasha Tour Pre Party
  • Zuchu Ft Diamond Platnumz - Cheche
  • Mauzauza Ft Khadija Kopa
  • Cheche feat. Diamond Platnumz
  • Nisamehe Sms SKIZA 8549161 to 811
  • Wybory

Ahaaa ahaaa
Mmmh mmmh
(Mr LG)... haaa...

Mi staki tuongee
Moyoni nina machungu machungu
Sije tenda dhambi mmh

Ila chozi la mnyonge
Malipo ni kwa Mungu kwa Mungu
Bora nihame kambi mmmh

Kama subira ina mwisho
Ina mwisho wake maana
Asali umeimaliza mzinga
Ukanifanya tahira

Suluhisho nimeona kwako hamna
Moyo wangu si wa mninga
Najitoa

Tunangombana kwa vitu vidogo
Kosa si kosa unageuka mbogo
Huna dogo wewe

Hunipendi unang'onga kisogo
Punda siendi eti bila magongo
Mpenda zogo wewe

Kukupenda tena staki!
...

******* This Lyrics is NOT for Commercial use *******
(1409612056681)
Lyrics powered by www.musixmatch.com. This Lyrics is NOT for Commercial use and only 30% of the lyrics are returned.

Copyright © 2019 | Mrtzcmp3